Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
hahaha inabidi tujuane mi na wewe ili mmojawetu akivuta tunawaambia jfI'M AFRAID SO
Ni vizuri kujuana, kufahamiana tuachieni sisihahaha inabidi tujuane mi na wewe ili mmojawetu akivuta tunawaambia jf
sijaelewa ?kwani we ndo bak ?nimemwambia real g mimi na yeye?tufahamiane bhaaaaaaaaaaaaaaasNi vizuri kujuana, kufahamiana tuachieni sisi
HAHA KWELI ITABIDI NIKU PM TUFANYE ARRANGEMENT YA KUJUANAhahaha inabidi tujuane mi na wewe ili mmojawetu akivuta tunawaambia jf
Kabisa kabisa, vipaji vya kutumia lugha kiufasaha................
Nyani mzee yuko makini teh teh
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Umenishikia, umenibamba..
Kwa moyoni we ni moja namba...
Juu yako mi nimeshasarenda....
Popote pale twende sambamba....
Unapocheza mwenzio nadata....
Unapokata kiuno, kabisa nakwisha....
Umewezaje kuleta hizi smiley za whatsapp huku JF ?[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nyani Ngabu na Kasinde naona mambo yenu sio mabaya...
Siwezi sema sana nije onekana mbaya...
Wivu sina mie nabaki nafurahishwa jamani sio vibaya...
Ngoja nijtoe mie HARUFU nisijeambiwa muimba kwaya...
Waweza imba wimbo huu.......
Wivu sina ila roho inauma eeeh
Munene na munene. ......
Mwembamba na mwembamba. ......
Na mimi na wangu....... (mahalat bin mahabuba bin my staftahi bin.........).
Asante kwa pongezi mwaego.
Kasie
Umenishika, umenibamba..
Kwa moyoni we ni moja namba...
Juu yako mi nimeshasarenda....
Popote pale twende sambamba....
Unapocheza mwenzio nadata....
Unapokata kiuno, kabisa nakwisha....
Kofi la ........ hata haliumi heheheheheheee**** you Kasinde
Kofi la ........ hata haliumi heheheheheheee
........... right back hahahahaaaa
Eff you monkeeeeyyyy
Nyani ngabu you're never walk alone
Mechemsha mieUmewezaje kuleta hizi smiley za whatsapp huku JF ?
Hapana chezeya mtu na mtuwe hasa anapo mtungia utunzi au shairi. ..... lanogaje masikioni hata bila zeze na gitaa unaipata ala ya muziki. .....
Hizo ndo nyama za ulimi kutwa kucha dozi.......*......... (siri ya mtungi)
Heheheheee nimefurahi.
cc: Nyani Ngabu
Uuuuwiii Kasinde weweNgoja nishushe mapazia naona majirani wote wameamka wanaangalia kwetu na wengine wanarekodi ili kesho wauze kwenye whatsapp zao.
Kifuatacho ITV (nyuma ya pazia) ni strawberry chopped in icecream bowl.........mmmmmmh yummy yummy yummiest. Haswa ukinishika hapo... hapo. .. eeewaaa.....
Mmuaah
Kasie.