JF Tanga Wing wakutana

Kumbe ni la kibisa? Lol! mie, sijatoa mchango ila naliona jina langu sasa sijui nani kalipa tu. Nafurahi kusikia upo njema.
nipo poa kabisa namshukuru Muumba wangu......inakuwaje bana mambo yametaiti au wamwogopa Filipo anabweka lakini hang'ati
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni la kibisa? Lol! mie, sijatoa mchango ila naliona jina langu sasa sijui nani kalipa tu. Nafurahi kusikia upo njema.

Mimi ndio "la kibisa!?" hah hah hah hah hah! Bahati yako nimeoa!
 
Mwanzo mgumu, lakini penye nia pana njia. Kukutana na kuongea ni jambo la muhimu sana. hata kuwa na marafiki ni jambo la heri. Tukija Arusha tayari tuna wenyeji kuliko kujifungia hotel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…