Evelyn Salt, hamia Tanga, hamia .............celtel
Mkuu Ta Rutta bado unasubiri White Party ya akina lara 1??
Mbona nimeambiwa kwamba hiyo kitu haitakuwepo tena, na badala yake Madame B na baadhi ya wadau muhimu wanakuja Ta kumalizia kiporo chao....!!
Nyegela waitu....mwambie na Ta Bishanga asikawie...
Ngoja nimwite Mzee mwenzangu mtambuze akupe ushuhuda...lol!!
Babu DC!!
Sijui wana ninin hadi kuogopana hivo he he he
au tuhamie kambi ya tanga nini mi na wewe?
rock beach napunga upepo......karibu!
Evelyn Salt, hamia Tanga, hamia .............celtel
Dawa sio kuhama... Tujiorganise wenyewe hata kama ni wawili or watatu kuwakilisha JF Lake Zone.
Mwenzio leo natawa home!!!!
Hahahahahahahahaha
white party hipo kama kawa na itafana! Ta bishanga amejiandaa vyakutosha na tunakukaribisha ujiunge na chama kubwa usisubiri kuhadithiwa! Nyegera muno
Ta Rutta sasa unataka kuzeeka vibaya...
Nitakusemea kwa mzee mwenzangu CHUAKACHARA,
Inakuwaje unambishia babu wakati kaelezwa na waandaaji wenyewe??
Wewe sema tukuandalie nini...uwono (dagaa wa Ta) au supu maarufu ya pweza...this is much better for your health and Ta Bishanga's
Mkuu haami mtu hapa.. Tutakomaa hata kama ni member wawili!!!
Mkuu haami mtu hapa.. Tutakomaa hata kama ni member wawili!!!
Pamoja sana Mkuu! Kimsingi sisi nanyi ni ndugu! Tupo pamoja sana.
Boss charminglady usikubali kuhama hata mbuyu ulikuwa mdogo! Lakini usikose white party
Cc Dark City
Dah.... So sad.... Wapi JF Lake Zone mbona aibu?????
Copy to: Chimbuvu, C6 , beibe nasty, Evelyn Salt, Elizabeth Dominic, ThinkPad na member wote wa JF ndani ya Lake Zone......
Mkuu haami mtu hapa.. Tutakomaa hata kama ni member wawili!!!