Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
There is a water reservoir floating in space that is equivalent to 140 trillion times all the water in the world's ocean.
“Salvator Mundi” by Leonardo da Vinci is the most expensive painting in the world, valued at $450.3M
You can't cry on space because your tears won't ever fall.
fact nyengine ni za ajabu sana
aisee, i am trying to figure out hayo machozi yatakua yanaenda wapi au yanaishia hewaniYou can't cry on space because your tears won't ever fall.
Astronauts in space can't tell if their bladders are full. They are trained to relieve themselves every two hours.
Sunsets on Mars are blue.

Kuna kabila liitwalo Mangbetu ambao wanatengenezena vichwa vyao na kuviweka katika shape fulani wakiamini ni alama ya urembo na kuwa na akili nyingi
Muda mfupi baada ya mtoto kuzaliwa hufungwa kitambaa kichwani kinakazwa ili kutengeneza shape ya kichwa waitakayo
Kwasababu ubongo ni kiungo kilaini sana hivyo hukuwa kutokana na shape ya fuvu mara baada ya kichwa kukomaa ndio umbo la kichwa linakuwa sawa kama wanavyotaka
View attachment 1972285View attachment 1972286

Hayatoki nadhani it's because of gravityaisee, i am trying to figure out hayo machozi yatakua yanaenda wapi au yanaishia hewani
Hayatoki nadhani it's because of gravity
Usipojikubali lazma utesekeKwa bongo mwanamke akiwa na kichogo hana raha, kazi kukificha na mawigi![]()

waefeso 6 : 10 na kuendelea .
3.4 million dollars sema Monalisa ni maarufu sanaWhat about that of Monalisa?