jf special day!

Hua sihudhirii harusi kama sio yangu.

Alafu wakukurekebisha mbona wengi tu, kwani hua unatetemeka nini mbele ya kiibodi?
we nshakwambia nakugwaya,kwa hiyo kwenye oroza ya wa kunirekebisha haumo.
 
Hivi kuna siku nitakuja kuzoea haya maneno ya hapa JF kweliiii????sidhani. Mwenzenu nachekaaa mpaka sieleweki saingine daaah
 
Back
Top Bottom