Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Wala hujakosea Kongosho,wakati ule hazikua nyingi km sasawee nae Rejao pesa umepata wapi?
Ulishindwa kuninunulia matiti ya kuku pale kwa Edo utaweza umemba wa jf?
Kwanza naskia unalishwa na Cantalisia.
Tangu Rejao wangu azikamate za ukweli mbona raha!
Yani anakula huyo! namlisha kitumbua mara tatu kwa siku hee heee hee!
Last edited by a moderator: