jf special day!

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,063
Kama mjuavyo humu jamvini kuna watu tunawajua kuwa ni couple.Wengi wao ni kapo za kimtandaotandao.Ila mjue kuna wengine huanzia flirting,then PM,then skype kama ipo,then namba za simu zikianza na sms,then makutano mfaranyaki ,then kifo cha mende na mwisho kwa wengine (kama waliowahi toa ushuhuda humu ndoa).
Kwa sababu njema kabisa siku ya leo naomba iwe special kwa jf kapos ambazo zimepiga hatua angalao kufikia hatua ya kumegana.
Bishanga nitataja moja kisha na wewe endelea kumwaga razi.
Naanza: Asprin na Kongosho
ps:msiogope name calling mamodi nshawakatia kitu kidogo.
 
Last edited by a moderator:
yatakushinda!
Eliza wa T ndo nani?
Hivi we huna mtu kweli humu?

Ningekua sina mtu kila siku ungekua unamchokoa chokoa nanii? Embu nenda kanifagilie kwanza kabla hatujaendelea https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/264963-wanawake-wa-jf-who-is-hot-who-is-not.html#post3884893
 
hewala maulana,ngoja niende mbio mbio!
 
Mmmmh ukiona hivyo ujue weekend itakua shwaari kama ya kibela
 
Nakuja kukuombea uokoke.
Hivi mjukuu mkubwa alienda wapi?

Joyce si umemjengea nyumba Tabata wewe?

Kongosho, hebu come this way tukamalizie yale tuliyoyaanzishia pale Fairway.

Ila upunguze wivu kwa Joyce, yule ni muhudumu tu.

Ule ulikuwa utani tu.
 
Last edited by a moderator:
Nakuja kukuombea uokoke.
Hivi mjukuu mkubwa alienda wapi?

Joyce si umemjengea nyumba Tabata wewe?
Mjukuu mkubwa ana ki:mimba: cha Moskwito. Afu nilijua we bonge la mjanja... ile nyumba ya urithi nimemweka pale kwa muda. Subiri ndugu zangu warudi toka Mererani uone watakavyomkurupua.

Afu hii ndoa yetu Bestman akiwa Bishanga, nani atakuwa matron wako? Nimechoka kusubiri.
 
Last edited by a moderator:
He he he he, labda atakuwa Babu DC, huyu naona atanifaa.

Mjukuu mkubwa ana ki:mimba: cha Moskwito. Afu nilijua we bonge la mjanja... ile nyumba ya urithi nimemweka pale kwa muda. Subiri ndugu zangu warudi toka Mererani uone watakavyomkurupua.

Afu hii ndoa yetu Bestman akiwa Bishanga, nani atakuwa matron wako? Nimechoka kusubiri.
 
Cantalisia na Rejao mko wapi? Kuna mtu kaleta umbea hapa,au ni ya kweli,na kama ni kweli where does it put Smile?

Hahah hahah hahah, Bishanga tupo tumejaa tele,
Actual sie tayari kila kitu tumeshapitia stage zote hizo na sasa tuko kwenye stage ya mafaniko,
Kwan sasa tayari ndoa ishajibu:mimba:na baada ya miezi kadhaa mme wangu Rejao ataitwa baba!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom