jf special day!

Hapo sawa....nilifikiri mwenyewe ndo najifaidia hapa JF !!!

Nasikia wewe ndo unalipia vibinti pesa ya premium kwa invisible!!
Hebu lipia basi na mimi nijidai kodogo.
Ukitaka firigisi nitakupa ya mdogo wangu, mimi ni mama yako huniwezi.
 
Mimi na mdada m1 hvi. Yupo hapa hapo.. Kasema iwe siri ila nimeshndwa kufcha. Penzi ni kikohozi.
Yupo mwngne kanambia atanipa ili nimteue awe mkuu wa mkoa.

Nicas Mtei hebu tuwekee wazi hapa, na wale wengine uliowateua walikumegea???
 
Last edited by a moderator:
Mjukuu mkubwa ana ki:mimba: cha Moskwito. Afu nilijua we bonge la mjanja... ile nyumba ya urithi nimemweka pale kwa muda. Subiri ndugu zangu warudi toka Mererani uone watakavyomkurupua.

Afu hii ndoa yetu Bestman akiwa Bishanga, nani atakuwa matron wako? Nimechoka kusubiri.

Mimiiiiiii ai weweeee nichagueee.........kwanza nitaenda sana na Bishanga ila sitamchakachua Lizzy asiwe na hofu kabisaaa!
 
Last edited by a moderator:
Mjukuu mkubwa ana ki:mimba: cha Moskwito. Afu nilijua we bonge la mjanja... ile nyumba ya urithi nimemweka pale kwa muda. Subiri ndugu zangu warudi toka Mererani uone watakavyomkurupua.

Afu hii ndoa yetu Bestman akiwa Bishanga, nani atakuwa matron wako? Nimechoka kusubiri.
muhimu sana matron atokee maeneo ya arusha tafazali.
 
Hahah hahah hahah, Bishanga tupo tumejaa tele,
Actual sie tayari kila kitu tumeshapitia stage zote hizo na sasa tuko kwenye stage ya mafaniko,
Kwan sasa tayari ndoa ishajibu:mimba:na baada ya miezi kadhaa mme wangu Rejao ataitwa baba!
sasa na hiyo maneno ingine ya mzee Rejao inakuwaje,kaiacha?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom