Je ulijisikiaje pale ambapo jf ilikutunuku cheo cha jf expert member

Digging deeper

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
787
510
Ki pekee nashukuru jf leo kwa kunitunuku cheo hichi cha jf expert member ambacho nilikuwa nakitamani kwa muda mrefu sasa najiona ni member rasmi baada ya kujiunga toka mwaka 2020.Je wewe member mwezangu cheo hichi ulikipata baada ya muda gani
 
Miaka ya nyuma ulikuwa ukipongezwa kwa kufikisha milestone mbali mbali. Watu wakiona umefikisha posts 100, 200, 300, 400 , 1,000 na kuendelea mtu alikuwa anafungua uzi na unamwagiwa sifa na pongezi kibao kutoka kwa wadau.

saizi huo utaratibu haupo mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom