Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 78
Kati ya mambo ambayo Taifa la Tanzania ningejifunia nayo ni mwandishi wa vitabu katika anga ya Kimataifa ni Godfrey Mwakakigile. Huyu jamaa alikuwa ni moja kati ya mwandishi bora katika bara la Africa.
Katika Vyuo mbalimbali sana tuona maandishi yake katika America, Ulaya Asia kote alikuwa ni mtu hodari sana katika siasa za bara hili. Katika hali ya kustaajabisha sana hakuna watu hasa Vyuo vyetu katika Taifa letu la Tanzania ambao wanaenzi michango yake katika uandisha na kufanya kuwa hata Wanafunzi ambao wengi wao wanasoma katika vyuo vyetu Tanzania wawe makini katika uandishi wa Vitabu. Ameandika mengi sana kuhusu Tanzania post Colonial Era hivyo michango yake Katika Academia ya Tanzania hata Duniani ni kubwa sana. Tuomba vyuo makini watambue mchango yake. Naomba kama kuna mtu anajua kuwa alipo huyu jamaa aseme yupo wapi na anafanya nini huko? anajihusisha na nini huko??