- Feb 10, 2006
- 4,537
- 16,779
Unatumia SIMU? Kama ni simu, kuna viunganishi (apps) vinakupa fursa ya kubonyeza LIKE. Kama ni 'mchina' basi inakuwa ni vigumu kidogo.mniwekee na kile kidude cha like jamani sijawahi kumpa mtu like toka nizaliwe
Mkuu,Asante sana Mkuu Maxence Melo kwa taarifa hii ila kama Safari_ni_Safari alivyosema bila JF ni balaa sana
Mkuu Maxence Melo mabadiliko lazima tuendane nayo hatuwezi kuwa nyuma ya mabadiliko ila inabidi kwenda nayo na kingine asante sana kwa kitufe cha Dislike japo dah itabidi kuangalia sana comments zetu sasa tusipewe usije ukawa na dislike nyingi kuliko LikesMkuu,
Uzoefu unafunza mengi. Hivyo, tumejipanga kwa hili na tutahakikisha linaharakishwa zaidi ya awali ilivyokuwa ikitokea.
Asante
Asante sana Mkuu Maxence Melo kwa taarifa hii ila kama Safari_ni_Safari alivyosema bila JF ni balaa sana
Mkuu,
Uzoefu unafunza mengi. Hivyo, tumejipanga kwa hili na tutahakikisha linaharakishwa zaidi ya awali ilivyokuwa ikitokea.
Asante
Kuna ujumbe unatokezea kwa wengi unasomeka hivi:
JF will be undergoing a major system upgrade. The system is scheduled to be offline beginning 6:30pm EAT on Oct 04, 2013. You may see several error messages; please ignore them! Updates on the progress will be posted on FikraPevu, JamiiForums on Facebook and JamiiForums on twitter
Naomba kuwafahamisha kuwa tunaboresha miundombinu yetu kiutendaji ili kuongeza ufanisi.
Endapo kutakuwa na mwenye BREAKING NEWS ambayo angependa isambazwe haraka, anaweza kutuma habari kuja habari@jamiiforums.com au macdemelo@gmail.com nasi tutaisambaza haraka sana kwenye mitandao ya Twitter, Facebook na FikraPevu.
Asanteni
BAK ndo hapo aise unashangaa haiko hewani na wajue sio wote ni member wa facebook banaAddicted lol! Hukawii kuamka usiku wa manane kuchungulia nini kinaendelea JF LOL! Have a great weekend Mkuu.