JF roll call

Watanzania ni bendera fuata upepo, sasa hivi mambo ya free polepole, free tundulisu, free heche n.k yamekwisha. Upepo umehamia kwenye taarifa za risasi na vifo
 
Wakuu natumai wote ni wazima.

Kama upo hai na mzima wa afya, wewe kama member wa JF pita hapa ucomment chochote tujue bado upo nasi.

@teki modise nipoooo
Kama ni member wa JF na ulikuwa unahamasisha maandamano na uko hai basi wewe ni KEY BOARD WARRIOR
 
... 29/10/2025 mchana nilikuwa natokea Magu ndani ya mkoko wangu. ... nilipofika Kisessa, kabla ya Igoma, gari yangu ikarushiwa mawe na wahuni ... japo nilipofika kwangu Nyegezi salama, toka siku hiyo mpaka leo bado ninatii 'CURFEW' maana Mwanza pia ilikumbwa na fujo za uchaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…