Imenisaidia sana hasa pale nilipodate mdada mpaka tukapanga kutoka out,na siu ilipofika tukautana maeneo nikaja gundua kumbe nilikuwa nadate na dada yangu baba mmoja mama mmoja tulipoutana tukaishia kucheka tu na kuulizana kumbe wewe ndio mtakatifu na mimi nikamuuliza kumbe wewe ndio.....................
Subir dozi sasa..mwosha huoshwa
Ashukuriwe aliesema tusitumie real Name zetu,maana tungeona aibu kujibizana na Wakwe na Mababu zetu humu Jf.
Ashukuriwe aliesema tusitumie real Name zetu,maana tungeona aibu kujibizana na Wakwe na Mababu zetu humu Jf.
Hivi umeshawahijiuliza kwanini huwa naupa Like kwenye post zako nyingi..??
Lazima ugeuzwe kapeti mwaka huu!
Na wewe nimekupa Like hapo,umeshawahijiuliza kwa nini lakini..??
Halafu hujanijibu bado unatokeaga wapi lakini wewe..??
Hivi umeshawahijiuliza kwanini huwa nakupa Like kwenye post zako nyingi..??
Lazima ugeuzwe kapeti mwaka huu!
Na wewe nimekupa Like hapo,umeshawahijiuliza kwa nini lakini..??
Halafu hujanijibu bado unatokeaga wapi lakini wewe..??