Kwani hao ni akina nani?
Mshana tuambie maane wewe ndio umetuletea uzi, au na wewe umetumwa ulete huku kama wale wa MMU akiwa ana shida anatumia neno rafiki yake amemtumaKwani hao ni akina nani?
Mshana tuambie maane wewe ndio umetuletea uzi, au na wewe umetumwa ulete huku kama wale wa MMU akiwa ana shida anatumia neno rafiki yake amemtuma
Hahahahaaaa Jodoki Kalimilo mi hiyo nimeiokota tu pahala
Kwani hao ni akina nani?