JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Screenshot_20210407-185026.png
 
Screenshot_20210409-214104.png

Mkama Sharp Chombo cha dola😂😂
Alikua na uwezo wa kukamata vibaka 30 Kariakoo na akawapangisha foleni wanaelekea kituo cha Polis msimbazi wenyewe yeye yuko nyuma yao

Uwanja wa Taifa(Shamba la bibi) kwenye mechi alikua anapanda farasi halafu ana mbwa na redio call na bastola na mabomu ya machozi kiunoni na SMG mkononi
 
Screenshot_20210414-174200.png

Dedan Kimathi(Kenya) kiongozi wa Mau Mau(Wapigania Uhuru)

Wanajeshi wa Uingereza walikua wanamfahamu kwa jina tu bila kumjua sura. Ila alivyo mwamba akaenda kuwaachia hii picha yuko na mdogo wake kwenye kambi ya Jeshi la wazungu ili wasihangaike kumfahamu( Achana na hiyo sigara kubwa ya mdogo wake😂😂)
 
View attachment 1772495
Mkama Sharp Chombo cha dola
Alikua na uwezo wa kukamata vibaka 30 Kariakoo na akawapangisha foleni wanaelekea kituo cha Polis msimbazi wenyewe yeye yuko nyuma yao

Uwanja wa Taifa(Shamba la bibi) kwenye mechi alikua anapanda farasi halafu ana mbwa na redio call na bastola na mabomu ya machozi kiunoni na SMG mkononi
Duh....
 
View attachment 1772497
Dedan Kimathi(Kenya) kiongozi wa Mau Mau(Wapigania Uhuru)

Wanajeshi wa Uingereza walikua wanamfahamu kwa jina tu bila kumjua sura. Ila alivyo mwamba akaenda kuwaachia hii picha yuko na mdogo wake kwenye kambi ya Jeshi la wazungu ili wasihangaike kumfahamu( Achana na hiyo sigara kubwa ya mdogo wake)
Hawa ndio walikuwa vigego
 
View attachment 1772497
Dedan Kimathi(Kenya) kiongozi wa Mau Mau(Wapigania Uhuru)

Wanajeshi wa Uingereza walikua wanamfahamu kwa jina tu bila kumjua sura. Ila alivyo mwamba akaenda kuwaachia hii picha yuko na mdogo wake kwenye kambi ya Jeshi la wazungu ili wasihangaike kumfahamu( Achana na hiyo sigara kubwa ya mdogo wake😂😂)
kumbe toka zaman bang ilikuwa mbaya hvyo!!!?😂😂😂
 
Back
Top Bottom