suppose nataka kumlipia miss chagga ili anipe kampani tu kwenye party nitafanyaje?hapo si lazima ID na real names zikoconnect?
Hahahaaaa! SIO LAZIMA! Mnawasilana na Miss Chaga then unamlipia Zubeda ! Sisi tutakupa kadi ya Zubeda, baaas! We a chaga ndo mtajuana kama ni zubed kweli au masikhara!
Hili litakuwa swali langu la mwisho kwa siku ya leo, najua kuna wadau kadhaa umeshawatia machoni nikiwemo miye muendesha interview hii...
Sasa pengine kuna wadau wengine kadhaa unatamani nao uwatie machoni panapo majaaliwa...
10. Who are you looking forward to meet this year?
hili swali la mwisho lol,ngoja nisubirie jibu then ndo nikalale
Hahahaaaa! SIO LAZIMA! Mnawasilana na Miss Chaga then unamlipia Zubeda ! Sisi tutakupa kadi ya Zubeda, baaas! We a chaga ndo mtajuana kama ni zubed kweli au masikhara!
mimi natamani nikuone wewe.
You will surely see me nitakuwepo
mimi natamani nikuone wewe.
Heaven on Earth hujambo...?You will surely see me nitakuwepo
du yaaani nimepata motivation ya ajabu kuhudhuria hiii party although sina kampan lakini ntakuja tu kila kitu kitajulikana huko huko ndani ya escape