Jamani maselebu wa MMU mukuje bana pande hizo za Kawe Beach...
Wengine tunatamani walau autografu zenu...show support and show some love!!
Okay...mmh now lemme get down to this one, maana sherehe kama hizi bila mabebs wa ukweeh zinachachaje?
5. Unaonaje ushiriki wa mababes(vigoli au warembo) mwaka huu?
Omamaaa!!! ngoja niachane na hilo la mabebs wa ukweeh maana hadi sharubu zangu zimecheza baada ya kuhakikishiwa watatua kutoka kona mbali mbali za Tanzania....sijui Dr Preta atakuwepo au binamu Zinduna...mmmh!!!
6. Hebu nitoe shaka katika hili, unaongeleaje maandalizi kwa ujumla?
Wadau wawe na matarajio gani?
Nadhan watu wengi hatujaelewa nini hasa kitakachojir hapo.kuna kutambulishana au mgeni rasmi atakuwepo? mc je.itakuwa ni party yenye mwelekeo upi hasa
I wish wish wisssshhhh nngekuwa huko jamani!! Yani kiroho chawivu kinadundia puan hadi vijasho! Natamani hata binamu yangu aende aje anisimulie!
>Hivi mtu ambae siyo member humu anaweza kuhudhuria?@lara 1
wape wape eee vidonge vyao,wakimeza wakitema shauri yao x2. teh teh.Naweza kusema kuwa ni WANAFIKI WAKUBWA (Pardon my CANDIDNESS and my lack for sense of humor) But these guys are either 100% FAKEROOOOOOOOOOOOOOO! Or they dont live up to their reputations. Ndo yale yale ya EASIER SAID THAN DONE!!!!!!!!!!!! Maneno mengi jamvini wakati kujitokeza live HUDHUBUTUUUUUUU!!!!!!!!!!
Kweli to me it is so DISAPPOINTING watu wamepewa RELEVANCE na wenzao, and wampewa status ya ku MATTER humu jamvini, watu wanakuja, wanakukubali hivo yani, then i dont know if they are TOO ASHAMED or WHATEVER ila mtu ukipewa NAFASI, UMUHIMU na UMAANA conduct yourself in that way!
Watu wamecommit mda, resources, and shit to make things happen, afu unashindwa kushow a little appreciation, little humor kwa kusupport by just kushiriki tu, kila kitu umeendaliwa, uje ule tu na kunywa bado unleta MASHAUZI! KWENDRAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!
Afu humu unajikosha kosha NAKUJA! NITALIPA! BLAH! BLAH! Na kujifanya unatujua sanaaaa wenzio wakati umetutosa kwenye party SI UNAFIKI HUO????????
Nisongee sanaaa ila IM ALLERGIC na watu wenye VI ATTITUDE vya ajabu ajabu! Watu wameandaa kitu, SHOW SUPPORT, SHOW SOME LOVE! Ndo watu TUISHIVO! Shughuli ni watu na MTU NI WEWE (Cha unafiki). Party huji kesho kaka matambuz, kaka mtambuzi wakati party yake uliipotezea! Puuuuuuuuu!
To be more FRANK watu wengine ni SHMUCKS/ PARTY PUPPERS/ ANTI SOCIAL so its westage of time kuwaconsider! Otherwise kama unajiconsider social and you are not planning to attend YOU SHOULD REALLY BE ASHAMED OF YOUR SELF!!!!!!
Jamani hembelu hembelu wenye kutamani kushiriki fanye fastani kulipia mapema wekundu watatu tu ili shughuli hii ifane kama ilivyopagwa atiii....
7. lara 1 labda kwa mtazamo wako ningelipenda kujua, unadhani wale wasioshiriki watakosa nini au watapitwa na nini?
Hata kufuli huwa laenda gulioni bi mkubwa...
Halafu hilo neno jekundu hapo juu limenifanya machale yanicheze...usiulize machale gani!!!
Najua ni machale ya kufuli, lol
Mmh!!! lara 1 haujui tu ni wapi unaponikuna kwa majibu yako..." . Hili jmvi lina kila aina ya watu sikufichi, sasa penye wengi pana mengi. Ukikaa nyuma nyuma hayaaa!"
Naamini baada ya hapa hakuna atayekubali kuwa nyuma tena...teh teh
Mmh kuna hili jambo la muhimu sana na nimekutana na maswali na concerns kadhaa watu wakiulizia hizi ID's zetu itakuwaaaje?
8. Hebu kwa ufupi tu wewe kama mmoja wa organizers suala la confidentiality(usiri)ya ID unaizungumziaje ?
Unawahakikishiaje watu u anonymous(hali zao za kutojulikana) wao?
Well, well, well...naona umetegua vyema kile kitendawili cha walio wengi kuogopa kujulikana...
Kabla sijamalizia swali la mwisho ningependa utoe mawili matatu kwa wadau wapya hapa jamvini:
9. Unawaambiaje New members juu ya ushiriki hii makitu!
Hahahaaaaaa! Hilo easy sana! Kwani MPESA AU TIGO PESA YAKO imeandikwa WATU 8????????? Kama vipi tuma hata na namba ya wakala kabisaa! Sisi mtuakilipa unampa kadi, maadam akumbuke jina lake la kwenye kadi tu mlangoni baaaaaaaaas!Otherwise sioni problem!