CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
We nawe usitake kun'tibua nanilii bure.
Btw majukumu ya kumuhudumia mume yamenibana japo natamani sana kuja Escape 1 KakaKiiza.
Usijali.....maliza party....then uje kwenye Party ingine kwangu:mimba::becky:
dah.na mimi naruhusiwa kukutext?
Kunauwezekano wa kutoka mrithi!!
haha! Hayo macho yatapofuka haki ya nani!!
Naweza kusema tu kuwa WOGA WAKO NI UMASIKINI WAKO!!!!!!!!!! Come on! Hii ni party, watu hatujuani, tunakutana kwa lengo la ku party TU!!!!!!!!!!! Sasa wasiwasi wako nini haswaaaaaa? We dont know you! Pae ni sehemu watu tunakutana kwa minajili ya kuparty! If you meet people watakao kuintrest then mtamalzana kivyenu, waki kuboa, unaondoka kama ndo binti hutoi number! Watajiju! Kwani deni?
Afu ni shughuli ya kistaarabu sanaaaaa! Very classy and trendy, huombwi kufanya kitu usichotaka wala hulazimishwi kufanya jambo usilojiskia!
ITS YOUR CALL, TO SPEND THE EVENING WITH YOUR LOUSY DAY TO DAY PEOPLE OR TAKE A CHANCE AND TRY A NEW BEGINNING!
Last year i could have sat at home, ninywe amarula damage ile ya 30, then mpaka leo ningkuwa na waswazi wangu wale tunapiga miahayo!I made a choice ya kwenda White Party, and in he party i met sombody, we talked business, nikajipigia debe la hatari, i didnt take the person seriously anyways, but to my surprise kanipa dili la tumillion kadhaa, mpaka nikaacha kazi kwa kibri! LOL! SO I TOOK A CHANCE ILINILIPA! THIS YEAR I AM EVEN TAKING A BIGGER CHANCE!
NEW PEOPLE= NEW OPPORTUNITIES!!!!!! OLD PEOPLE = SAME OLD BORING LIFE!
Where is your adventure spirit people!
Si nilikupigia ukasema mara CD kakupa lundo kasema ni sipite sema na sikukuu zikaingia ila hakuna kilicho haribika ni ku review tu au??kwako imekaaaje??King Mswati, tehe tehe tehe, hivi ile ahadi ya nanihii ikaishia wapi?? una mengi ya kujibu wewe ooh!
Mkuu ni lazima kulipa kabla ili kufanikisha maandalizi kama vinywaji, chakula na ukumbi...
Well maka jana ilibamba mbayaaaaaaa! Na mwaka huu tumejaribu jaribu ku UPGRADE, kama VENUE imetoka KEBBY'S imehamia ESCAPE kitu mandhari ya beach! Na mengine mengi ambayo ni surprise ya watakaohudhuria!
Nimekuelewa. Na deadline ya kulipa ni lini? Je ukumbi umehama toka Kebby's kwenda Escape 1?
Vipi kama nitakuja na kiingilio changu siku ya tukio? Halafu vipi, tutakuwa tunatumia majina yetu ya JF ama?
Pesa inalipwa kabla ya mkusanyiko huu...
Jina utalopenda wewe kutumia liwe la JF, liwe halisia au hata aka nyingine maadam ufuate utaratibu utaopangiwa wa namna ya kuingia...
Brother.. Nifanyie mpango wa kubambia kabisa...lol
Brother.. Nifanyie mpango wa kubambia kabisa...lol
Nitextie i see nitafurahije hahahahaha