Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
we ukija usile, usinywe. cheza tu, ongea na jamaa na marafiki.inaonekana we mroho sana
we ukija usile, usinywe. cheza tu, ongea na jamaa na marafiki.inaonekana we mroho sana
Hayo ndio naleta mimi. Ila hakuna nyama hapo, we leta pia.Lazima watu tujing'ate vidole. Hiyo ni intro tu?
unazidi kudhiirisha urohoo wako,,nilidhani ungesema karibu hata kidogowe ukija usile, usinywe. cheza tu, ongea na jamaa na marafiki.
Haswaaa, mi mwenyewe nimevaa simple tu hapa, na najiskia comfortable. Nani anashughulika na mziki jamani, I am worried...au unasemaje? Maana isije kuwa too formal watu wakavunja makabati... Kama vipi put on anything nice because later tutahamia ufukweni lols... Nahisi itapendeza zaidi like a beach party...and picnic.
Tutakuwakilisha hadi utakapokuja....pia huu ni mkutano....Party HiyoooooooooooSamahani nitakuwa sijamaliza mkutano.
Amy mi nilikua mkutanoni nimejichokea sasa acha niwe mtazamaji.Bi shosti kina lizzy wako wapi? Dj simuelewi anapiga blues wakati hiyo ni ya baadae mida ya midnight....
Kadakabikile, ndio kipi hicho? labda na mimi naweza kukipenda...Mimi nitakuja na kinywaji aina ya kidugugu.
naomba mniwakilishe jamani mimi ndo naingia kijijini hivyo hata net itakata
Kadakabikile, ndio kipi hicho? labda na mimi naweza kukipenda...
popobawa na ..................