JF Online Party is on!!

special for mwali
konyagi.jpg
 
Kumbe ni formal kiasi, sio?

au unasemaje? Maana isije kuwa too formal watu wakavunja makabati... Kama vipi put on anything nice because later tutahamia ufukweni lols... Nahisi itapendeza zaidi like a beach party...and picnic.
 
au unasemaje? Maana isije kuwa too formal watu wakavunja makabati... Kama vipi put on anything nice because later tutahamia ufukweni lols... Nahisi itapendeza zaidi like a beach party...and picnic.
Haswaaa, mi mwenyewe nimevaa simple tu hapa, na najiskia comfortable. Nani anashughulika na mziki jamani, I am worried...
 
Bi shosti kina lizzy wako wapi? Dj simuelewi anapiga blues wakati hiyo ni ya baadae mida ya midnight....
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom