JF Niokoeni: makalio ya wadada yanamkera mpenzi wangu

Hiyo inaashiria kuwa una katabia ambacho mwenza wako hakipendi. Kamaumeshindwa kujenga mazingira akubaliane na hali yako, fanya kila juhudi uachane na tabia hiyo. After all, ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani, ni kama umezini naye!
Kwa hiyo kaka me nina dhambi zaidi ya 1000 maana nimewaangalia wengi. hizo juhudi ndo naziitaj kama zipi mkuu?
 
Pole sana kwa ugonjwa huo ila unaweza kuisha kwa wewe kuyayoea hayo makalio, na ukiwa nae jikaushe bhana. Nilishawah kuwa na mpenzi ako na tabia km hzo ila yeye alipenda kusifia makalio na miguu minene, nilikuwa nakasirika kweli ila nilianza kuzoea nami nikawa namuonyesha na kusifia km hajaiona, sasa ikawa inamkera yeye then 2kakubaliana tusisifie tena makalio na miguu ya wadada na tabia ikakufa.
Gud technique am gona try it thanx dada.
 
Wanajamvi naomba msaada wa kisaikolojia kila siku ni ugomvi na mwenza wangu eti kisa kwanini naangalia sana makalio ya wadada.
Jana amenianzishia tifu la ajabu barabaran baada ya kumuangalia sana dada aliyepita mbele yetu na kusababisha kukoswa kugongwa na gari. Ukweli ni kwamba yule dada alikuwa amefungasha vizuri kwa nyuma na hata alipokuwa akitembea alikuwa ana vibrate kwa nyuma me sikuwa na jinsi nikamwangalia ndo ikaleta shida. Nifanyeje ili niepukane na Ugomvi wa kila siku japo nimeshakuwa addicted.
Muache nyumbani we vipi muongozane kwani nyie kumbikumbi.
 
Kama mkeo hana sifa unazozitaka kwa nini ulimuoa?
Wanajamvi naomba msaada wa kisaikolojia kila siku ni ugomvi na mwenza wangu eti kisa kwanini naangalia sana makalio ya wadada.Jana amenianzishia tifu la ajabu barabaran baada ya kumuangalia sana dada aliyepita mbele yetu na kusababisha kukoswa kugongwa na gari. Ukweli ni kwamba yule dada alikuwa amefungasha vizuri kwa nyuma na hata alipokuwa akitembea alikuwa ana vibrate kwa nyuma me sikuwa na jinsi nikamwangalia ndo ikaleta shida. Nifanyeje ili niepukane na Ugomvi wa kila siku japo nimeshakuwa addicted.
 
Tatizo la wengi hili, watu wanazuga tu hapa. Pole kwa maswahibu ya kunusurika kugongwa na gari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom