JF Niokoeni: makalio ya wadada yanamkera mpenzi wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Niokoeni: makalio ya wadada yanamkera mpenzi wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jasho la Damu, Jul 15, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi naomba msaada wa kisaikolojia kila siku ni ugomvi na mwenza wangu eti kisa kwanini naangalia sana makalio ya wadada.
  Jana amenianzishia tifu la ajabu barabaran baada ya kumuangalia sana dada aliyepita mbele yetu na kusababisha kukoswa kugongwa na gari. Ukweli ni kwamba yule dada alikuwa amefungasha vizuri kwa nyuma na hata alipokuwa akitembea alikuwa ana vibrate kwa nyuma me sikuwa na jinsi nikamwangalia ndo ikaleta shida. Nifanyeje ili niepukane na Ugomvi wa kila siku japo nimeshakuwa addicted.
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mbona iko hapa, kwani hii nayo ni siasa?
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  aisee hako kaugonjwa kanamalizwa kwa kuwa KIPOFU,weka maji ya betri machoni sas hivi na hiyo shida itaisha daima
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mimi nilidhani makalio ya wanasiasa kumbe ugomvi wako na mkeo!! Mpe dawa za kichina na awe anakuwa mbele yako ili umwangalie yeye tu.


  Mods toa hii hapa peleka kunakohusika
   
 5. charger

  charger JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mkuu umekosea jukwaa,peleka MMU
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  acha kuangalia makalio ya wadada...
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mbona huku siasa jukwaa jamani?
  au umechanganyikiwa na kujiuzulu kwa muiran rostam?
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  apologize unless otherwise umefanya makusudi kupost ujinga kwenye jukwaa la masuala nyeti katika taifa
   
 9. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duh!! mkuu unafanya kazi na Al-Queda nini!?
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  We una tatizo,halafu mpenzi wako anakosea namna anavyokuambia tatizo lako!Ngoja nifikirie namna ya kukushauri!
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inaonekana wewe upo kwenye mtandao wa TIGO ndiyo maana mke wako amekushitukia!!
   
 12. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ha ha ha bandugu waswahili wanasema ukiona wenzako wanatembea kinyume nyume na wewe jaribu kuwaiga ili muende sawa. Ni kweli ili ni jukwa la Siasa lkn hii si thread ya kwanza kuanzishwa hapa ambayo haiusian na siasa zipo nyingi tu au ndo kusema wapo wenye haki ya kufanya hivyo na wengine hawaruhusiwi. Be fair guyz.
   
 13. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Am waiting for u mkuu.
   
 14. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ahaaa mkuu me nipo VODACOM hlf am just watching them then I left them. si unajua macho hayana pazia na fahari ya macho kuona kipendezeshacho.
   
 15. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ushajua tataizo ni nini,je kwanini unaendelea kuwaangalia.
  Jifunze ku control mambo madogo kama hayo kama mwezio hataki uangalie sa we yanini kuangalia inye za watu?
   
 16. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kiukwel hlo ni tatzo la kila mwanaume ila linaisha kama utamkubali mpenzi wako kuwa ni waukwel hayo mengne utayachukulia ya kawaida tuu. Mana tabia hyo inakuja kutokana hujalidhika na mpenzi wako na ndo mana unakuwa na tamaa ya kila unaemuona unamtaman. Sikatai vipo vya kutazama ila co kila kitu ukiona mpaka mnafikia hatua ya kugombana nae ujuwe waz kuwa umezidisha sawa kijana jipange kwanza
   
 17. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ahsante Dada kwa ushauri nitajaribu kuufata japo.....
   
 18. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ANAUDHI,WEWE UMEOA MPENDE MKEO HATA KAMA NI MBAYA NDIO WAKO HUYO,UNALETA NJAA ZA KIDUWANZI HAPA WEKA TINDIKALI MACHONI USIONE MAKALIO TENA

  alaaaaa''
   
 19. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Thanx, well noted.
   
 20. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yale yale masharti ya mganga ukitaka utajiri muue mzazi wako. niliitaj ushauri wako kama hauna unaweza kunyamaza na kama thread inakukera ipotezee.
   
Loading...