JF Niokoeni: makalio ya wadada yanamkera mpenzi wangu

Wanajamvi naomba msaada wa kisaikolojia kila siku ni ugomvi na mwenza wangu eti kisa kwanini naangalia sana makalio ya wadada.
Jana amenianzishia tifu la ajabu barabaran baada ya kumuangalia sana dada aliyepita mbele yetu na kusababisha kukoswa kugongwa na gari. Ukweli ni kwamba yule dada alikuwa amefungasha vizuri kwa nyuma na hata alipokuwa akitembea alikuwa ana vibrate kwa nyuma me sikuwa na jinsi nikamwangalia ndo ikaleta shida. Nifanyeje ili niepukane na Ugomvi wa kila siku japo nimeshakuwa addicted.

Inaelekea tatizo lako ni kubwa zaidi kuliko unavyofikiria. Kwanza jiulize kwa nini uangalie nyuma na usiangalie mbele? Kama ulivyoambiwa basi hizo dawa siku hizi zipo zitafute umpe mkeo naye avimbishe makalio halafu utakuwa unamwangalia yeye masaa 24. Tafadhali usilete pumba pumba zako tena hapa
 
sasa wewe unaangalia wengine huyo uliekua nae ni jiwe au?mambo mengine tuwe tunaangalia bana.kama unajihisi unapenda wenye ****** basi ungemchukua alie hivyo.hayo ya kizaman.......
 
hvi huyo uliyekuwa unamwangalia makalio ni makubwa kama haya...............
attachment.php
 
kama alikuwa kama huyu basi itabidi tukusamahe....uliposema hukuwa na kufanya...................ila nusura ajali ikukute..........
attachment.php
 
Inaelekea tatizo lako ni kubwa zaidi kuliko unavyofikiria. Kwanza jiulize kwa nini uangalie nyuma na usiangalie mbele? Kama ulivyoambiwa basi hizo dawa siku hizi zipo zitafute umpe mkeo naye avimbishe makalio halafu utakuwa unamwangalia yeye masaa 24. Tafadhali usilete pumba pumba zako tena hapa
wewe una hasira hufai kuwa mshauri mzuri mimi ni hayo tu je ungekuwa unamuuguza mgonjwa ukimwi si ungemuua kabisa eti kwasababu alifanya ngono mwenyewe.
 
sasa wewe unaangalia wengine huyo uliekua nae ni jiwe au?mambo mengine tuwe tunaangalia bana.kama unajihisi unapenda wenye ****** basi ungemchukua alie hivyo.hayo ya kizaman.......
Kaka sukari ni tamu lkn haizidi asali haimanishi kwa kuwa asali ni ghali na aghalabu kuipata basi tusitumie sukari mpaka utakapoipata asali ama usitumie sukari tena kwa sababu umepata asali tu.
 
Kwani lazima uwaangalie hayo maeneo? Mkeo ameshakwambia hapendi basi ACHA kuwaangalia.
 
Heheheee, SHE WALK AND ROLL ........ Bob Marley used to say that.

Last edited by a moderator:
sasa kama mpenz wako hapendi kwa nini we unaendelea? Ushajua kuwa mumsup wako hataki, mi sioni cha kukushauri, sanasana labda nitakwambia uachane na huyo swtee wako ili uwe huru.
 
Jizuie kaka. Tafuta cd ya inye ya kina majuto, Siku ukijisikia kubwiku hivyo vinyeo vya watu jifungie ndani uangalie cd.
 
Hiyo inaashiria kuwa una katabia ambacho mwenza wako hakipendi. Kamaumeshindwa kujenga mazingira akubaliane na hali yako, fanya kila juhudi uachane na tabia hiyo. After all, ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani, ni kama umezini naye!
 
Wanajamvi naomba msaada wa kisaikolojia kila siku ni ugomvi na mwenza wangu eti kisa kwanini naangalia sana makalio ya wadada.Jana amenianzishia tifu la ajabu barabaran baada ya kumuangalia sana dada aliyepita mbele yetu na kusababisha kukoswa kugongwa na gari. Ukweli ni kwamba yule dada alikuwa amefungasha vizuri kwa nyuma na hata alipokuwa akitembea alikuwa ana vibrate kwa nyuma me sikuwa na jinsi nikamwangalia ndo ikaleta shida. Nifanyeje ili niepukane na Ugomvi wa kila siku japo nimeshakuwa addicted.
wewe inaonesha hujaridhika na uliyenae unapenda wenye makalio makubwa ila hujabahatika kumpata.kama unampenda msikilize anachokuambia humtak bas tafuta huyo mwenye nnya kuubwa
 
Pole sana kwa ugonjwa huo ila unaweza kuisha kwa wewe kuyayoea hayo makalio, na ukiwa nae jikaushe bhana. Nilishawah kuwa na mpenzi ako na tabia km hzo ila yeye alipenda kusifia makalio na miguu minene, nilikuwa nakasirika kweli ila nilianza kuzoea nami nikawa namuonyesha na kusifia km hajaiona, sasa ikawa inamkera yeye then 2kakubaliana tusisifie tena makalio na miguu ya wadada na tabia ikakufa.
 
mbona eazy, siku unayokuwa na hamu ya kuangalia makalio au unatarajia kwenda maeneo ya wenye makalio muache mkeo nyumbani uende peke yakoo, yaangalie weeeeee hadi hamu iishe then rudi nyumbani. na kama mkeo hana makalio anahisikuwa unatamani mwenye makalio ndio maana anakuwa mkali, ila kama anayo makubwa na yeye basi ni mgomvi tu. lakini huyo mkeo hajauliza wengine, mbona kushangaa makalio ni moja kati ya kazi kubwa walizonazo wanaume? ni wachache sana ambao hawageuzi shingo kuangalia maeneo ya nyuma ya wanawake, tena hiyo tabia huwa hawaiachi hata wakiwa wazee, kwa hiyo awe mpole tu ajue warembo ni wengi ila yeye ndio uliemchagua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom