Jf ni noma

Hiyo ndoa inawezekana ikavunjika maan no peace again in love......
 
bora nikamatwe ugoni......nakuwa walau nimefaidi
kuliko hivi..... yaani nina hamu ya kumwona mrembo mpya
halafu mambo yanakuwa vululuvululu
 
bora nikamatwe ugoni......nakuwa walau nimefaidi
kuliko hivi..... yaani nina hamu ya kumwona mrembo mpya
halafu mambo yanakuwa vululuvululu
hapo hamkufanya makusudi ila bahati mbaya mkuu
 
io ndoa ilikuwa rejuvinated upyaa kwa kwel teh.
 
Ngoma ni draw, aliyeuziwa cheni, kapewa cheni bandia, aliyelipa pesa naye kalipa pesa bandia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…