JF na "Wabeba Box"

Napenda wabeba box wanavyoleta post zao wanauchungu sana kuliko tuliopo nyumbani ila wananikera waoga sana hawapendi wajulikane

Yeah, wapo wengi humu, ila waoga kusema, wanaogopa kushambuliwa na wasio wabeba box.
Ila waweza kuwang'amua kwa posti zao za usiku wa manane saa za bongo LOL
 
Zawadi atawapa nani, wakati wote akina sisi njaa tupu
Ni katika kupambanua tu ndugu, yupi mbeba box, yupi mkulima......nk

Sasa tukisha'pambanua' nani mbeba box na nani mla vumbi then what next?
 
Sasa tukisha'pambanua' nani mbeba box na nani mla vumbi then what next?

Usisahau hii ni chit-chat, hakuna cha what next.
Changia kama unaye
Tukimaliza list hii tutaendelea na list ya "wala vumbi" wa Unga limited LOL
 
Usisahau hii ni chit-chat, hakuna cha what next.
Changia kama unaye
Tukimaliza list hii tutaendelea na list ya "wala vumbi" wa Unga limited LOL
Haya weeee. .
Mi ntakua 'mla vumbi' nambari wani!!
 
Inaonekana wapo wengi hapa, hebu tujitaje / tuwataje :biggrin:

Mi naanza na "Gaijin", mkuu vipi box la Japan linalipa?:A S wink:
(username imekutoa mkuu)

Wanatuzingua hao..!!hawako mbele wala nn,box zao wanabebea manzese hao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom