jf na marekebisho yao

Toa hata pongezi tu maana kila uchao hapa mnalalamika mara ooonh sijui ofisi gani mtandao mbovu mara ooonh,mikopo yetu namba zimefanyaje,mara tc yuu home page sijui nini!!!!!!

Hawa wanajitahidi na.wana juhudi ya kuboresha sasa shida nini???????

Hebu weka jinsi ya kuboresha sio kukosoa tu kila uchao
 

sijakuelewa
 
Marekebisho yanayofanywa ni ya tatizo gani?

server imezidiwa?position?au 'mkono wa mtu'?

marekebisho yanafanyikia wapi?watalaam wa jukwaa la tech hawajaombwa ushauri inaonekana 'linamudika'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…