Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
JF wamerudi tena na cloudflare
Toa hata pongezi tu maana kila uchao hapa mnalalamika mara ooonh sijui ofisi gani mtandao mbovu mara ooonh,mikopo yetu namba zimefanyaje,mara tc yuu home page sijui nini!!!!!!
Hawa wanajitahidi na.wana juhudi ya kuboresha sasa shida nini???????
Hebu weka jinsi ya kuboresha sio kukosoa tu kila uchao