JF msaada: How to quote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF msaada: How to quote?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kimey, Nov 17, 2009.

 1. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wakuu heshima mbele!! Kuuliza si ujinga!! Naomba kujuzwa jinsi ya Ku quote post za watu zaidi ya mmoja pale unapotaka ku reply post!! nimeona kuna wataalamu hapa waki quote watu zaidi ya mmoja na ku reply post!! maana kuna wakati nakua na interest ya ku quote wachangiaji zaidi ya mmoja then ni reply katika post moja! Naombeni mwongozo wenu!!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Yah please people!!
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Pole kwa kusubiria muda mrefu bila jibu.

  Kwenye kila post ya member mwingine (siyo wewe) kwa chini kuna vitufe vya {Quote: Multi off: Quick Reply na Thanks}. Kwenye post yako mwenyewe, kitufe cha Edit kinaongezeka.

  Kulingana na jinsi unavyotaka kuwapangilia wale unaowanukuhu, bonyeza kitufe cha Multi Off katika mpangangilio wa nukuhu unavyokusudia. Kwa kila post ya mtu unayobonyeza, kitufe kinabadilika na kuwa Multi On.

  Basi ukishafanya hivyo, scroll mpaka chini karibia na ile Quick Reply editing window, kwa juu yake katikati ya post ya mwisho katika ukurasa huo na pale Tags zilipo kuna kitufe kingine cha Post Reply. Bonyeza hicho kitufe ili kwenda kwenye Advanced Editing window/panel. Huko utakutana na post zote ulizochagua kuzinukuu kwa kutumia Multi Quote zikiwa zimejipanga kwa jinsi ulivyozichagua. Baada ya hapo kilichobakia ni hoja zako tu na kuendeleza u-great thinker wako!! :)

  NB: Unaweza pia uka skip process yote ya ku-scroll mpaka chini kutafuta Post Reply button kwa kubonyeza kitufe cha Quote kwenye mojawapo ya mabandiko yoyote uliyoamua ku-multi quote.

  Kazi njema.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kumbe wako wengi hawa!

  Haya huU hapa ni mfano wa mnachotaka nadhani...SteveD AameELEZA YOTE HAPO , HAKUNA CHA KUONGEZA..NADHANI MTAWEZA SASA!
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kuna mwingine aliuliza maana ya kum-pm mtu!lol.....!hawa computer literate wa kipindi hichi wana matatizo:)
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Nimekugongea senksi ujue
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  asante kwa msaada wenu!
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=zOmHVDsdWKw[/ame]
  SteveD thank you....
   
Loading...