Jf money kazi ni kwako!!

Lete kidhibiti ubaoni.
Au me Bakabaka watu?
He!
PM zinaficha mengi sana,kumbe huwa mnamjadiligi Madame B?
Na umenifumbua masikio na macho kuwa kumbe kuna watu hawataki kuniona?
Sorry jamani hakuna mtu yeyote humu JF anaeniweka Mjini
Enough!!

hahahah naona watu wanakupanda kichwani...lol
 
Anaye leta maskhara kwenye pesa ya mtu jua siku zake za kuisha zitakua fupi kama maisha ya funza. mia

My friend hata hamjafikia muafaka kama suala hilo mmeafikiana au laa umeshaanza kupiga biti/mkwara. Kazi mnayo.
 
Whats wrong wangu?


Lete kidhibiti ubaoni.
Au me Bakabaka watu?
He!
PM zinaficha mengi sana,kumbe huwa mnamjadiligi Madame B?
Na umenifumbua masikio na macho kuwa kumbe kuna watu hawataki kuniona?
Sorry jamani hakuna mtu yeyote humu JF anaeniweka Mjini
Enough!!
 
figganigga fanyeni kweli, sisi huku kwetu tuna umoja mpaka tuna account na mzinduzi wetu alikuwa marehemu REGIA MTEMA pale GOLDEN ROSE HOTEL. Pia ningewashauri kuweni na umoja wa ukweli ambao mkitaka mnakuwa na utaratibu wa kukopa just as SACCOS.

Mkuu Arushaone umeongea jambo la maana, lakini sijakutia machoni bana kwenye vikao unapiga chenga!
 
Last edited by a moderator:
Maneno bila matendo mi staki ngoja nianze kutoa mchango hapa
tanzania1.jpg
 
Back
Top Bottom