Jf money kazi ni kwako!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf money kazi ni kwako!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Sep 24, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,970
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Kila siku tunaongea lakini mambo ya hela hayaongelewi. Mi nataka sasa tuwe tunaongea kimshiko mshiko.
  Nataka tucheze mchezo wa kuchangiana hela. Nataka kila mtu aingie kwenye kundi moja, "Hii ni lazima". Wewe mwenyewe utachagua unapenda kundi lako liwe na member gani ambao unaona si wadhulumaji "dhulumat".
  Baada ya hapo kila kundi mtakua mnachangia hela kila siku mtu mmoja hadi nyote muishe. wahusika ni member wa jf tu!.
  Asie changia mnamreport kwa Jf money founder figganigga. kazi ni kwako!!. mia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  figganigga fanyeni kweli, sisi huku kwetu tuna umoja mpaka tuna account na mzinduzi wetu alikuwa marehemu REGIA MTEMA pale GOLDEN ROSE HOTEL. Pia ningewashauri kuweni na umoja wa ukweli ambao mkitaka mnakuwa na utaratibu wa kukopa just as SACCOS.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  yangu macho
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hii kitu ni kwa member wanaotoka mkoa mmoja au Jf kwa ujumla?
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  ....Sikio na Shavu langu.
   
 6. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wazo sio baya
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa bado....
   
 8. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Watakao kuwa kundi moja na ..............z Wahesabu maumivu.!
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,970
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  usukani namuachia Arushaone awaelekeze. mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,970
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Kila sehemu kuna member wa jf. ni kitu cha kujioganise tu!. Nyie huko mliko fanyeni yenu na sisi huku tufanye yetu. Hii ni jf kwa ujumla. paw bado hajapata kundi. Ntafanya mchakato kujua yamepatikana makundi mangapi. mia
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,970
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Kila sehemu kuna member wa jf. ni kitu cha kujioganise tu!. Nyie huko mliko fanyeni yenu na sisi huku tufanye yetu. Hii ni jf kwa ujumla. paw bado hajapata kundi. Ntafanya mchakato kujua yamepatikana makundi mangapi. mia
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah!! Mtaje bwana acha uoga.
   
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  ...ile ya kukutana Ana kwa Ana au Mkoa kwa Mkoa imetushinda Sembu ya Mambo ya Hela?
  Ila tujitahidi huenda tukafikia malengo,
  Ila kwa Kufuata Miongozo.
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Nimekupata mkuu, sasa huku nilipo sijui kama kuna member wa JF ngoja niorganize.....
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Ila tukiwa siriazi tunaweza, tatizo masikhara yamezidi.
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Unajua Katavi kuna mda wa Kuchakachua na Muda wa U-serious.
  Kama tukilifanyia kazi hli suala nadhani tunaweza kufikia pale tunapopataka.
  Ila kwa ushauri wangu naona kama tukiamua kujikusanya group la Dar peke yake au Mwanza pekee tutakuwa wengi.
  Tutafute njia m-badala.
  Labda tujitenge kimafungu mafungu.
  Ni ushauri tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,123
  Trophy Points: 280
  ...hii sasa JF DECI simooo mie....
   
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmh...Patamu hapa!
   
 19. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Madame B kunahatari ya kuanza kukutana na wakwe zako,hapo ndio itakua patamu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  DECI At Work.
   
Loading...