...hii sasa JF DECI simooo mie....
DECI At Work.
...ile ya kukutana Ana kwa Ana au Mkoa kwa Mkoa imetushinda Sembu ya Mambo ya Hela?
Ila tujitahidi huenda tukafikia malengo,
Ila kwa Kufuata Miongozo.
Ila tukiwa siriazi tunaweza, tatizo masikhara yamezidi.
Unajua Katavi kuna mda wa Kuchakachua na Muda wa U-serious.
Kama tukilifanyia kazi hli suala nadhani tunaweza kufikia pale tunapopataka.
Ila kwa ushauri wangu naona kama tukiamua kujikusanya group la Dar peke yake au Mwanza pekee tutakuwa wengi.
Tutafute njia m-badala.
Labda tujitenge kimafungu mafungu.
Ni ushauri tu.
kama unaogopa kuonana na mwenzio cha kufanya ni kutuma hela kupitia kwa invisible anaziwakilisha kwa kundi lako. hapa makundi inabidi yasajiliwe. Naamin kuna wanaotaka mkutano uwe unafanyikia kwenye thread ili mradi wasionane na madame B lol!..hahahaaa...!!!. kuna njia za kisasa za kufanikisha jambo hili. mia
...hahahahha... Katavi unaotea vibayaha ha ha haaah!! ninyi inaonekana ni wahanga wa DECI.
Kwani ile jf saccos ilifilia wapi? Manake nilisubiri ichanganye ndo nijiunge.
Mie najichezesha upatu mwenyewe, naweka kwenye kibubu. Hela hapa mtakuja kuuana.
...hii sasa JF DECI simooo mie....
Lete kidhibiti ubaoni.
Au me Bakabaka watu?
He!
PM zinaficha mengi sana,kumbe huwa mnamjadiligi Madame B?
Na umenifumbua masikio na macho kuwa kumbe kuna watu hawataki kuniona?
Sorry jamani hakuna mtu yeyote humu JF anaeniweka Mjini
Enough!!
..kwahiyo mkuu hii nini ndio VICOBA au ndio ule wanaita MCHEZO...hahahahahaha...100Mkuu ili ufanikiwe usiwe na mawazo hasi. jitahidi mkuu mbona unaweza kuwa na mawazo ya kujenga zaidi ya hayo?. Usiogope changamoto kufikia mafanikio!. mia
..kwahiyo mkuu hii nini ndio VICOBA au ndio ule wanaita MCHEZO...hahahahahaha...100
Mkuu samahani. nimetumia id yako kama mfano tu, sikumanisha wewe. mbona wewe mpango mpango tu mtu wangu. pa1 sana. hata hivyo nmeshaiedit na kuondoa id yako lol!. mia
..mchango tsh ngapi...?iite vyovyote vile utakavyo, cha Muhimu ni kujenga kuchangiana mahela. bhaaaaasi. mia
..mchango tsh ngapi...?
..na njia ipi inatumika kutoa mchango..
..mchango utafanya kazi gani za kimaendeleo...nipe jibu ni changie Fasta