JF mobile edition mna tatizo gani?

JF mobile edition mna tatizo gani?

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
868
Reaction score
784
Heshima wakuu,

Tangu jana usiku nimehangaika sana kutumia JF kwenye simu yangu, Nimepost thread ya kwanza then baada ya kutoka kwenye Internet nilipotaka kurudi tena sehemu ya home page hakukuwa na jukwaa lolote linaloonekana zaidi ya sehemu ya new posts.
Ningependa kujua kama tatizo ni lenu au la simu yangu. Asanteni.
 
Back
Top Bottom