Kwa nini wewe umejisahau?Ifuatayo ni idadi ya wana Jamiiforums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr
Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea idadi.
,
Wiseboy.Weka na idadi yangu mkuu.
Bonge la mshamba na utoto i can tel your IQ is very low...yani English ndio umeona la kuongelea hapa....do sijui tutafika tuendako kama wa tz ndio hawa wanao thamini lugha za watu zao wanaona hazina maana....ina lillah wa ina ilah rajiunIfuatayo ni idadi ya wana Jamiiforums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr
Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea idadi.
,
Jiwe na yeye ni jf member mbona hujamuweka??Ifuatayo ni idadi ya wana Jamiiforums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr
Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea idadi.
,
Uwe unaheshimu mawazo ya watu bila kuwakashifu ungeandika kwa lugha moja ungeeleweka zaidi wewe umeandika hiyo comment yako kwa lugha 3 kiingereza,kiarabu na kiswahiliBonge la mshamba na utoto i can tel your IQ is very low...yani English ndio umeona la kuongelea hapa....do sijui tutafika tuendako kama wa tz ndio hawa wanao thamini lugha za watu zao wanaona hazina maana....ina lillah wa ina ilah rajiun
What a compliment...! Thanks all the way.... Am humbled....!!!!Ifuatayo ni idadi ya wana Jamiiforums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr
Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea idadi.
,
Sasa kwanini hujalala na umefungua uzi wa mshamba na tena mwenye low IQ ili uchangie? Wewe mwenye High IQ wala usingefungua huu uzi wa mtu mwenye low IQ na bado ukachangia,aisee tuna safari ndefu sana bado.Bonge la mshamba na utoto i can tel your IQ is very low...yani English ndio umeona la kuongelea hapa....do sijui tutafika tuendako kama wa tz ndio hawa wanao thamini lugha za watu zao wanaona hazina maana....ina lillah wa ina ilah rajiun
But I just can't don't know why is dominating almost 90 percent of the world...!!!English is just a language like others,not a sign of intelligence
Broo shikamooWhat a compliment...! Thanks all the way.... Am humbled....!!!!
Usimsahau popoma la kichagaI didn't say that English is not a language,next time I will come up with a list of people in JF who are fluent in Chagga language.
The answer is very simple brother.England/Great Britain inluence over sees went hand in hand with spreading of his language in order that he could have easy mean of colonizing its coloniesBut I just can't don't know why is dominating almost 90 percent of the world...!!!
Mme wangu mshana nifundishe kingereza na mm niongezeke kwenye list Am humble you knowWhat a compliment...! Thanks all the way.... Am humbled....!!!!