Hahahaha, Jamani Aspirin mi sijasoma PM bwana, na wala sina uwezo huo. Kama nilivo mjibu The Finest hapo juu nimeambiwa (live, sio kwa PM) kuhusu gia mbali mbali zinazo tumika kuanzisha flirty PM... Did you recognize your style mkuu? 🙂We Mrusi.........modereta Mkuuwa MMU.
Kwanini unasoma PM zetu?
Kwanini jamani?
Sie tuko busy kutongozana we uko busy kufanya utafiti! Khaa! Hujui MMU ni jukwaa la mapenzi? Na mapenzi si ni kutongozana?
You have been warned!
Binafsi situmiwi PM... Nimefanya uchunguzi kwa members fulani fulani ndio nikaambiwa kuna hizo category hapo...
Well this sounds more interesting....
Interesting because of what I've highlighted in blue colour....What do you mean? Ingekua from my own database it would have been uninteresting?
Babu ODM aint tongoza no body!.......... Na huyo aliyekwambia ni jinsia gani? Kama ni dume lilete nilipeleke kwa dave Cameroon......Hahahaha, Jamani Aspirin mi sijasoma PM bwana, na wala sina uwezo huo. Kama nilivo mjibu The Finest hapo juu nimeambiwa (live, sio kwa PM) kuhusu gia mbali mbali zinazo tumika kuanzisha flirty PM... Did you recognize your style mkuu? 🙂
Ukiingia kichwa kichwa kunitumia PM unakutana na ujumbe ufuatao....PLEASE TRY AGAIN WE DO NOT RECOGNIZE YOUR GENDERWe endelea kumtongoza sweetlady kwa PM. Nna mpango wa kumfanya mrusi awe nyumba ndogo yangu, ntazisoma tongozo zako zote kulaaleki!
Well, I am still not sure about the question ila nadhani it is clear that I am sharing some funny information and itakua ni mimi nataka kukujuza about my findings... au?
Oooooh, now I get your point... Ni kiswahili tu kimechanganya mamaa. ngoja nifanye editing.'kutakiwa' kwa Kiswahili sanifu kunahusiana na amri, sharti ama kanuni.
Sasa hapa tunalazimishana kupokea hizi funny information au inakuwaje?
Kwa hiyo ndo nshakubaliwa siyo? Jibu fasta kabla klorokwini hajaamka. Atanizibia rizki yangu ya miaka 50 ya uhuru.Hii hapa style mpya. hakuna cha PM wala nini, unaanzia tu in the thread... :suspicious:
Khaaa!:smash:Ukiingia kichwa kichwa kunitumia PM unakutana na ujumbe ufuatao....PLEASE TRY AGAIN WE DO NOT RECOGNIZE YOUR GENDER
Hahahaha!! Hautaki au......jaribu kunitumia PM uone...Khaaa!:smash:
Ukiingia kichwa kichwa kunitumia PM unakutana na ujumbe ufuatao....PLEASE TRY AGAIN WE DO NOT RECOGNIZE YOUR GENDER
Basi wewe kama mimi Cantalisa. Napokea za kuwasaidia members tu (Moderation related, sio shida binafsi!)Heshima yako RR,
Ktk hizo hapo juu mie sijapata,
Nashukuru mungu huwa napokea zenye mistari ya biblia tu,
Ikizidi sana ni attachiment za makongamano mbali mbali ya kuitangaza injili!!
Heshima yako RR,
Ktk hizo hapo juu mie sijapata,
Nashukuru mungu huwa napokea zenye mistari ya biblia tu,
Ikizidi sana ni attachiment za makongamano mbali mbali ya kuitangaza injili!!