Ahsante sana Rubani kwa hizo images za kukata na shoka. Mwaka huu niliuanza vizuri sana namshukuru sana Muumba wetu kwa hilo na unaelekea kwisha vizuri kabisa. Ukibahatika na bahati kubwa kama hii inabidi tu umshukuru Muumba wetu.
heri tuangalie upande wa pili wa sarafu,lolmtumee jamani hny usifanye hivyo
heri tuangalie upande wa pili wa sarafu,lol
kwahiyo unamkubuka kwa maneno yake yenye fleva,loljamani ntamsakia wapi tena wakati alikuja na kupotea lakini bado namkumbuka jina
mweeh fanya hivo bhana nimemiss hizo hudumalol itabidi nikuogeshe na maji ya karafuu yalochanganywa na madini ya tanzanite la sivyo naibiwa mchana kweupeee
kwahiyo unamkubuka kwa maneno yake yenye fleva,lol
mweeh fanya hivo bhana nimemiss hizo huduma
:shock::A S-coffee:πray2:wee itabidi iwe kesho sasa,maana geti lishafungwa na ba'mdogo mkali kweli swiry.
:shock::A S-coffee:πray2:
reverse psychology...
Kabisa Captain.
Ni jamho la kushukuru kwa kweli kama siku zako nyingi zilikuwa njema.
Ni jambo la kushukuru pia kama siku hazikuwa kama tulivyopanga maana
hakuna kibaya kisicho na kizuri ndani yake. ubarikiwe zaidi kwa 2012..
take care for now..
Weeee, nimekumbuka.
Vipi kile kitabu?You know which one.
Weeee, nimekumbuka.
Vipi kile kitabu?You know which one.
Shukrani sana Rubani, pia nimefurahi kwamba kesi nimeshinda hahahahah lol! bila hata kuhitaji wakili ππ Na wewe nakutakia kila la heri katika 2012 na kila ulitakalo lifanikiwe nami nitakuwa nakuombea kwenye sala zangu.
hahahahahaahahah unakitaka.
mpaka leo nimesoa topic moja tu .
Hahahahahha.Alinipa mimi ila sijamaliza kukisoma nikimaliza nitakutaarifu ili uje kukichukua ππ hahahahaha lol!
hahahahah Captain
Kesi hujashinda bali hii kesi iko kwenye msimu mzuri.
msim wa upendo. huu ndo msimu nasamehe bila kufikiri..
Unabahati wewe hahahahahah. ingekuwa baada ya siku 18
ungeona che mtama kuni. lol
Asante sana captain..
Hahahahahha.
Na wewe umeanza lini kusoma BAK?Siulifeli darasa la mwandiko na kusoma wewe?
Well, unataka niendelea kutoa mbinu za hawa mods au hutaki?Seriously though, we fanya mpango alafu mi ntakupa summary ya yale yanayopendeza wewe kujua.
Alafu I got something for you, so fanya mpango unitafute.
Wewe na yeye wote fanyeni mpango wa kunifikishia kabla ya kesho maana nilishaahidiwa.Nisipokipata napublish viPM vyenu jamvini.LolzzzHahahahahah lol! hayaaa banaa...ila kweli ninacho mimi πππ sasa kama una mpango wa kupita mitaa hii karibu sana vinginevyo itabidi mpaka nikimalize nikirudishe kwa AD ukakichukue kwake. Mwandiko deal banaaa!!!! utakuaje na mwandiko kama wa daktari hata kusoma hausomeki utafikiri kuku kapita!!!!! lol!