JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

Tunakodisha bunduki
shibe kijijini
CCNP engineer
Wangari maathai
Deogratius kisandu
Heaven on earth huyu aliandikaga uzi wake wa kupanda mlima Kilimanjaro.
Stralis
Don clericuzio.
Miss natafuta.
Davin'ci
Lusungo na uzi wake wa kujilipua ughaibuni.
 
Msafiri nimekumiss, usipotee hivyo kama tako la nyoka...😄😄😄😄

Ukuje na Nissan nyeupe tukalisakanye donge nono 😋😋😋.

Nimejikuta namkumbuka muuza matunda wa kanisani pale posta mpya daah.. !!
Sijui kwanini....😃.

Nimekumiss pia Kasinde swaiba mvuta msuba mwenzangu...

Donge nono inabidi nikapewe kwenye viunga vya Ndoto polepole aisee, msuba ukiwa unateketea taratibu...

Posta pashavurugwa, zile hekaheka hakuna tena...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom