jockey emmanuel
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 330
- 50
thnx alot...
Tuko pamoja sitakusahau katika maombi yangu leo ,
:happy:HALOO....SOON IM GOING TO START MY TERMINAL EXAMS....JF MEMBERS I NEED UR PRAYERS....KAMA TUNAVYOFURAHIA KUTOK ABT DIFFERENT THINGS IN JF...BASI TUFURAHIE MAFANIKIO YANGU AMBAYO YATATOKANA NA SALA ZENU....MATOKEO YATATOKA TRH 4 JUNI....
Kumbe huwa una'tune RADIO SAFINA kwenye bajaji yako eeh?...hongera best!nadhani ufanye bidii sana katika kujiandaa na pia maandiko yanasema ' Nitawafanya kichwa na wala si mkia' so jiandae vizuri na sali sana........tutakuwa pamoja katika maombi