Hawa wawe kwenye boring participant11 Smart na Mwenzake
Hahaha ni Ke yuleI thought Thad ni jinsia kinzani ujue
Nilikuwa nakuchokoza Kiongozi. Wewe ni mmoja wa waelinishaji wakubwa.[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Aisee wakubwa mnafaidi..Hahaha ni Ke yule
Jimbo langu nimeshatia nia zamani mno
Mkuu mimi hata sio mkubwa, ni miongoni mwa vijana wadogo kabisa humu japo in real life naonekana mtu mzito fulani wakati choka mbayaAisee wakubwa mnafaidi..