Halina shida ila ni hofu yako tuUmeamua kunichimba mkuu mpaka umeipata id yangu. By the way hili jina nimetokea kulichukia sana kwakuwa kuna muda nilihisi linanipelekesha na kuninyima fursa.
😂😂 Hofu lazima. Fikiria kuna mtu anahitaji ushauri, halafu unamshauri inbox mpaka mnafahamiana physically. Mnakubaliana kqbisa itakuwa siri yenu. Then jf unaitwa msemachochote, lazima awe na mashaka. Hii id mpya imenipa fursa ambazo nikizidisha uaminifu, kuna mahala nitafika na zaidiHalina shida ila ni hofu yako tu
Narudia kusema kuwa hiyo ni hofu kwako.[emoji23][emoji23] Hofu lazima. Fikiria kuna mtu anahitaji ushauri, halafu unamshauri inbox mpaka mnafahamiana physically. Mnakubaliana kqbisa itakuwa siri yenu. Then jf unaitwa msemachochote, lazima awe na mashaka. Hii id mpya imenipa fursa ambazo nikizidisha uaminifu, kuna mahala nitafika na zaidi
Na Bachelor ll
Careem said:Kuna @mkwepu jr
Daah, nlimsahau aisee... hata mtu akicomment pumba jamaa lazma ampe like yake! mkwepu jr chukua kura hyo.Mshana Jr said:Likes giver
Mshana Jr asante! Ila ktk kumbukumbu zangu hakuna mwaka nimeupokea kwa furaha na amani kama huu japo tarehe 31 Desemba 2019 mchana, nlipata mkasa ulioniumiza sana sana.
Hebu tia neno kuhusu hili.