Blood of Jesus Christ
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 617
- 1,122
Hahahaaaaaaa[emoji44][emoji848][emoji23]
Hahahaaaaaaa[emoji44][emoji848][emoji23]
Couple of the yearThis is part two [emoji117][emoji117][emoji117]*LETS NOMINATE, THE YEAR IS ABOUT TO END [emoji310][emoji310][emoji310]*
2019
1.Best Member
2.Most Active
3.Funniest Member
4.Best Admin
5.Laziest Member
6.Sweetest Member
7.Best Advisor
8.Most Talkative
9.Most Silent
10.Best Leader
11.Couple of The Year
12. irritating member
13.Boring participant
14. Most respected
15. best jokes teller
16. Mr/Mrs Selfie
17.Best newcomer
18....
19...
20....
Nominate someone who matches the categories..!
Nb: adding category is allowed
Sio yangu na mama swalehe
Nasubiri nione mwaka huu nilionekana au lah!! Ukute nipo kwenye BEST ID CHANGER maana kuna raia tumefahamiana tangu 2016 ila hawanikumbuki, pp (profile picture) hii kila baada ya miezi kadhaa inabadilika
Nimepata kura ya kuchekwa tu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Unamjua mkwepu jr??Nipo naandaa suti hapa tayari kwa kupokea tuzo
😅😅Kikubwa tu wakubwa wasifabye yao kushawishi wanachama/wajumbe/wanakamati
Ndio, naona mnataka kunihujumu eksi wangu..Unamjua mkwepu jr??
Poa poa msemachochoteNasubiri nione mwaka huu nilionekana au lah!! Ukute nipo kwenye BEST ID CHANGER maana kuna raia tumefahamiana tangu 2016 ila hawanikumbuki, pp (profile picture) hii kila baada ya miezi kadhaa inabadilika
SanaNi balaa huyu Ndugu yangu.
Umeamua kunichimba mkuu mpaka umeipata id yangu. By the way hili jina nimetokea kulichukia sana kwakuwa kuna muda nilihisi linanipelekesha na kuninyima fursa.Poa poa msemachochote