JF Member of The Year is...

Pear Bwana!
 

hahaaaa, huogopi waifu wako atakuchenjia hapo kwenye ready ni tishio lake lol!!!
 
Thank God am not in the list!

Mwaka huu sikuwa active ki-viiile πŸ™‚
 
sasa shemeji ashike nafasi zote jamani.....mmh tutasherehekea kweli kweli

Piga hesabu mpaka sasa naongoza. Na hapo festiled hayupo kompyuta yake imeingia vairasi!
 
Thank God am not in the list!

Mwaka huu sikuwa active ki-viiile πŸ™‚


mi nilidhani we excluded au???? mi bado sijamaliza kulist naweza endelea na jina lako mhishimiwa plz!!!!!
 
SENKS Shishi,niunge mkono na mguu basi kumpigia kura Iribini.

Kwa kampeni hii, leo utakamata senski mpaka kiboksi kiishe. Kikiisha naenda kuchomoa nilizomgongea bht nahamishia kwako mchumba. btw vipi kliniki, mambo mazuri?
 
Thank God am not in the list!

Mwaka huu sikuwa active ki-viiile πŸ™‚


Mkuu wewe una yako special inakuja tunasubiri kwanza ujio wa JF mpya mwakani, nilitaka kumweka FARIDA ila nikaogopa respond ya ban unajua tena
 
Thank God am not in the list!

Mwaka huu sikuwa active ki-viiile πŸ™‚

Wewe tena! jina lako lipo lakini halionekani kihivihivi mpaka kwa wenye miwani kama yangu.Nipo tayari kuremove kura yangu kwa Chrispin niiweke kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…