VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,174
Mtaji 6mTzs!? Huo mtaji kama Upo Dar, jaribu kudalalia fuso la ndizi Toka Mbeya ama Kilimanjaro.Sasa nipe Generally situation ya kibiasahara huko kama ntakuja na mtaji wa million I sita tsh
Mtaji 6mTzs!? Huo mtaji kama Upo Dar, jaribu kudalalia fuso la ndizi Toka Mbeya ama Kilimanjaro.Sasa nipe Generally situation ya kibiasahara huko kama ntakuja na mtaji wa million I sita tsh
Mtaji 6mTzs!? Huo mtaji kama Upo Dar, jaribu kudalalia fuso la ndizi Toka Mbeya ama Kilimanjaro.
Pamoja na kupata ABCs muhimu kupoteza senti kadhaa ukapate uhalisia wa huko maana mtz zaidi utaona anakwambia mitaa ya mji etc tofauti na wenzetu NigeriansSasa nipe Generally situation ya kibiasahara huko kama ntakuja na mtaji wa million I sita tsh