JF member mliopo Kampala

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,314
1,366
Hope mko fine kabisa

Ntakua na safari ya kikazi Kampala kwa week kadhaa . Ningependa kupata wakati mzuri wa kufahamiana na jamaa mliopo Kampala na kubadilishana mitkasi juu ya maisha ndani ya jiji hilo linaloakisi maisha halisi ya EA.

Kama uko ndani ya jiji hilo tufahamiane hapa

Best regards
 
kuna kampala moja tu. karibu saaana ktk jiji la kujitanua kila siku. ila jiweke vizuri ukikaaa ovyo utaluzwa
karibu uonje rolex na kikomandooo mlo saafi sana
 
kuna kampala moja tu. karibu saaana ktk jiji la kujitanua kila siku. ila jiweke vizuri ukikaaa ovyo utaluzwa
karibu uonje rolex na kikomandooo mlo saafi sana
thanks mkuu, kama upo mjii huu tutafutane, nimefikia Kolping hotel
 
Poa ila mie niko kampala town maeneo ya Nasser rd, naona wewe uko maeneo ya bwaise ila hio hotel naijua ilipo
Upo hdi lini?
 
Poa ila mie niko kampala town maeneo ya Nasser rd, naona wewe uko maeneo ya bwaise ila hio hotel naijua ilipo
Upo hdi lini?
mkuu mwezi wa 11 naweza nikaja kampala so napend unijuze ghalama zaaisha uko
 
mkuu mwezi wa 11 naweza nikaja kampala so napend unijuze ghalama zaaisha uko
hebu nipe taaarifa kamili unakuja kukaa muda gani?? unafikia hotel ama unaenda kupanga chumba??
Ok
1. Chakula kuanzia 3000= hadi 100,000/= kutegemea na mahari unapokula
2. cha asubuhi kuanzia 1000/= hadi 35,000/= kulingana na mahali unapota
3. hotel kuanzia 10,000/= hadi 400,000/= kutegemea na mahali utakapotaka(hotel)
 
Daaah Bwaise!!!nimekumbuka mbali sana enzi nachapa degree ya kwanza Makerere hapo,mitaa ya Angenour,Silk nilikuwa sikosekani,vilevile Kimansulo kwa wadada wanaocheza uchi!!!daaah kweli Makerere 'As We Build For The Future'
 
Poa ila mie niko kampala town maeneo ya Nasser rd, naona wewe uko maeneo ya bwaise ila hio hotel naijua ilipo
Upo hdi lini?
Mwezi unaokuja nakuja ntakuwa mitaa ya mawanda road ......kama mtu wa beer tutakutana kisimenti hpo

Ova
 
Inabidi uwe specific, hilo swali liko kijumla mno na sio rahisi kupata jibu
ila fursa zipo nyingi tu
Nahitaj nikafanya kilimo au bishara ya mazao Uganda maana Uganda IPO guru kwa biashara kuliko Tanzania hakuna export burn ya mahindi kama hapa Tanzania
 
Nahitaj nikafanya kilimo au bishara ya mazao Uganda maana Uganda IPO guru kwa biashara kuliko Tanzania hakuna export burn ya mahindi kama hapa Tanzania

karibu na kwa mwaka huu haujawa mzuri kwa wakulima maana wastani wa nvua kwa kila mwezi imekuwa mala tatu kwa mwaka wote so bei yavmaza imeshuka saana kwani wengi wamezalisha kwa wingi
kwa export hakuna shida
 
Inamana na Uganda wamezuia kuexport mazao Kenya kama hapa Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom