Maxence Melo
JF Founder
- Feb 10, 2006
- 4,230
- 13,415
Kweli mkuu masaa mawili yanatosha kabisa kuimalizia report yangu!! Dah kazi kwelikweli!Naomba watu mkale sasa, ni muda mzuri... Nendeni mkale (kwa mlio Tanzania) na wengine pata muda wa ku-relax na tukimaliza mambo mengi yatakuwa yamekaa sawa.
Tunashukuru kwa ushirikiano.
Baada ya dakika 12 tutaiweka OFF
Sasa WENGINE ndo kwanza twaamkia JF,haya bwana kazi njema
Tuvumiliane,OOOH Mexence, inanipasa nizime na PC yenyewe, bilA JF, Maisha yanakua magumu
walau kazi zitafanyika.....
ngoja nikafuatilie kadi za harusi lol!
hehehehe!tafadhali bwanaMaxence, mpe Geoff ban ya JF mpaka baada ya harusi naona atatutia aibu hafanyi maandalizi anashinda tu kwenye JF
Maxence, mpe Geoff ban ya JF mpaka baada ya harusi naona atatutia aibu hafanyi maandalizi anashinda tu kwenye JF
hehehehe!hehehehehe we mchangie harusi yake uone kama hatafunga harusi njema.
hehehehehe we mchangie harusi yake uone kama hatafunga harusi njema.