JF Maintenance: Feb 2010

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,196
13,186
Wakuu, "tulitarajia kuifunga" JF kwa muda wa masaa takribani mawili hivi, kwakuwa kuna kitu tunaweka sawa. Lakini kwa sasa kila kitu kitaendelea kama kawaida, kunaweza kuwa na errors, tafadhali tufahamishane via support@jamiiforums.com au PM. Tupo kwenye marekebisho ya haraka ambayo yatachukua masaa mawili hivi.

Ahsanteni.

Maxence
 
Kazi njema kamanda,


Ngoja walau tupate lunch! Hii JF inaweza kuhatarisha afya. Baadhi tunahitaji ushauri nasaha! (ni utani tu mkuu)
 
Jamani tutaimiss lakini
All the best and keep up with good work Maxence and your team
 
walau kazi zitafanyika.....:D
ngoja nikafuatilie kadi za harusi lol!
 
Naomba watu mkale sasa, ni muda mzuri... Nendeni mkale (kwa mlio Tanzania) na wengine pata muda wa ku-relax na tukimaliza mambo mengi yatakuwa yamekaa sawa.

Tunashukuru kwa ushirikiano.

Baada ya dakika 12 tutaiweka OFF
 
OOOH Mexence, inanipasa nizime na PC yenyewe, bilA JF, Maisha yanakua magumu
 
Naomba watu mkale sasa, ni muda mzuri... Nendeni mkale (kwa mlio Tanzania) na wengine pata muda wa ku-relax na tukimaliza mambo mengi yatakuwa yamekaa sawa.

Tunashukuru kwa ushirikiano.

Baada ya dakika 12 tutaiweka OFF
Kweli mkuu masaa mawili yanatosha kabisa kuimalizia report yangu!! Dah kazi kwelikweli!
 
Sasa WENGINE ndo kwanza twaamkia JF,haya bwana kazi njema

OOOH Mexence, inanipasa nizime na PC yenyewe, bilA JF, Maisha yanakua magumu
Tuvumiliane,

Kwa wanaojua hizi database driven sites wanajua ugumu wake. Tunachofanya sasa hivi ni kwa ajili ya kuweka sawa mambo. Tunaamini baada ya kazi hii ya masaa mawili hivi tutakwenda mwendo sawa.

Tunaomba uvumilivu wenu wakuu
 
walau kazi zitafanyika.....:D
ngoja nikafuatilie kadi za harusi lol!

Maxence, mpe Geoff ban ya JF mpaka baada ya harusi naona atatutia aibu hafanyi maandalizi anashinda tu kwenye JF
 
hehehehehe we mchangie harusi yake uone kama hatafunga harusi njema.

Maxence, mpe Geoff ban ya JF mpaka baada ya harusi naona atatutia aibu hafanyi maandalizi anashinda tu kwenye JF
 
Imechukua muda kidogo kuliko matarajio, tunaendelea na marekebisho machache. Hakuna sababu ya kufunga, endapo kutakuwa na matatizo katikati (ndani ya masaa mawili tunayoshughulika na marekebisho haya) tafadhali wasiliana nasi via support@jamiiforums.com au tuma PM kwangu.

Maxence
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom