Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,291
- 46,027
Mwenyewe.!Pumbavu zakooπππ
Uje tuzichape tuu maneno mengi hayasaidiiπMwenyewe.!
Huyu inawezekana pia ID ya chai ya rangi ni yeye.Unajitaja halafu unajiuliza, unajua kujipakulia minyama.!
Ama kweli nyie watu huo muda wa kulinganisha ID humu mnautoa wapi?
Mimi nataka chai ya maziwa
Tuige ili ufe na njaa.Ama kweli nyie watu huo muda wa kulinganisha ID humu mnautoa wapi?
Siwez kufanya kazi za kijingaTuige ili ufe na njaa.
Kazi gani hiyo ya kijinga?Siwez kufanya kazi za kijinga