Unajitaja halafu unajiuliza, unajua kujipakulia minyama.!We jamaa mgeni Umejuaje ID yangu?
Aseme tu yeye naniPotezea bwashee 🤗
Pumbavu zakoo😂😂😂Unajitaja halafu unajiuliza, unajua kujipakulia minyama.!
Ili iweje?Kulegeza ubongo 🤣🤣
Mtu amejoin JF 2017 una muita mgeni?We jamaa mgeni Umejuaje ID yangu?
Basi itakuwa ni weweMtu amejoin JF 2017 una muita mgeni?
Kwahiyo wewe uliyejoin 2021 ndio mwenyeji kumzidi?
Au ulitaka kujilinganisha nae kwa ile ID yako nyingine?
Hii ID tu sio ya kwanza na bado ipo jukwaani muda mrefu kuliko yako De GunnerWe jamaa mgeni Umejuaje ID yangu?