Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,311
Naam, kama vipi lipite na wahuni wote wasio jua ustaarabu.Hili Nalo Litapita Tu!
Naunga mkono hoja yako, viva jf.Ndio JF tutaongezeka sasa, wanapaisha brand
sema kutojiamini ni kubaya Sana."Yatapitaaaaaaa!
Yana mwishoooooo!!!"
Kwa sauti ya Domokaya. πππππ
Kwa hili hatuto nyamaza, uhuni sio mzuri.Mungu nifundishe kunyamaza.
maisha kama XβΉοΈβΉοΈ basi naona notification za JF kila Nikifungua hewala na sina mawasiliano na mtu humu , nikaja nikasema nijaribu kuwasha VPN ,
Eh mafisii haya ptuuu
Wee IB huogopiii? LOLsema kutojiamini ni kubaya Sana.
Hehe kuwasha VPN kidogo ushawaza pπrnPπ«£rn webs, Telegram, π, JF,....next....
Abroad ya wapiii uduguu? Mbna hujanistuaa?Hivi kwa watu tuliopo humu wanajua hatujui kutumia VPN πΉπΉ
Wengine saa hii tuko abroad π€£