JF is never boring...

JF is never boring...

What have you found to be interesting and exciting?
 
What have you found to be interesting and exciting?

everything as usual...
new members....new threads....umeiona hiyo jamaa anajuta 'hakumega' mke wa rafiki lol??????

or
au kutokuwepo tu kwangu kunanifanya nione kila kitu humu interesting today....
 
Karibu tena The Boss ..

Kuna mahali niliona mtu kafupisha
Jina lako The Boss (TB) haipendezi
Inaondoa maana ya jina ..
 
Karibu tena The Boss ..

Kuna mahali niliona mtu kafupisha
Jina lako The Boss (TB) haipendezi
Inaondoa maana ya jina ..

asante afro

actually huwa natamani kuwaambia kila siku hivyo
naona umenipa nguvu nitawaambia aisee
thanx
 
sikuwepo kama wiki au zaidi
nimerudi na its true jf is never boring......
Dah...nili wa miss mno.....
I hope all is welll..........

4 sure nilikumiss sn!
Nlitaka kuuliza km wamekuban duh!!!
Welcome back " lol"
 
Back
Top Bottom