JF is never boring...

agrrrrrrr!
Sehemu zake zishapotezwa

lol! Jf is never boring
nilikosa usingizi
nkaingia humu
jf sasa netiweki ya usingizi iko full!
Nimecheka mpaka
majirani wanahisi
leo nimeingiza
magendo humu ndani
kumbe jf! Gnt ya'll
c ya b'dae
 
sikuwepo kama wiki au zaidi
nimerudi na its true jf is never boring......
dah...nili wa miss mno.....
i hope all is welll..........

Karibu tena BOSS, ulienda Mlandizi? :):) Mie nakuchokoza tu banaaa hahahahah lol! Na sisi tulikumiss sana.
Nakutakia weekend njema yenye furaha tele.

Last edited by a moderator:

Nzuri dada yangu. Pole sana kwa msiba. Nimefurahi safari yako ya kuwahi mazishi imeenda salama salmini. Ulibeba vile vyakula vitamu vitamu au hukupata muda wa kuvitafuta? :):)

Nilikua wa kula dada yako? ila tumesha poa sasa, thanks for the support, ilinisaidia sana in those days. mambo mengine?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nilikua wa kula dada yako? ila tumesha poa sasa, thanks for the support, ilinisaidia sana in those days. mambo mengine?

Pole sana. Mambo mengine poa kabisa namshukuru Mungu. Vipi na wewe shughuli zako umeshaziweka sawa? I hope hauko nyuma sana, kukosa hata week moja ni shughuli nzito, lakini kwa jinsi unavyojituma najua hali yako haitakuwa mbaya sana. Ila kupumzika ni muhimu sana.
 
Nimepumzika vya kutosha home, nimekaa 10 days! ila sasa nacatch up, asante. tuendelee PM...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom